AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mshindi wa kura za maoni CCM Ubunge Viti Maalum (Vijana) Mkoa wa DSM ni Dorice Mgeta mwenye kura 10 kati ya kura 36 zilizopigwa, nafasi ya pili imeenda kwa Doria Mollel ambaye amepata kura 9 akifuatiwa na Lillian Rwebangira mwenye kura 7, wagombea walikuwa 64.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK