google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Fatma Karume Ahoji Kwa Nini Magufuli Asiwe Rais Milele? | UDAKU SPECIAL

Fatma Karume Ahoji Kwa Nini Magufuli Asiwe Rais Milele?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais Magufuli apingwa Mahakamani,Wakili Fatma Karume aongoza ...Aliyekuwa Rais wa chama cha mawakili cha Tanganyika (TLS) Fatma Karume amehoji ni kwa nini Rais John Magufuli asiwe rais wa maisha yote nchini baada ya hoja ya kumuongezea kipindi cha miaka miwili zaidi ya  kutawala.

Karume ametoa kauli hiyo alipokuwa anajibu juu ya hoja iliyoanzishwa kwenye mtandao wa twitter juu ya rais Magufuli kuongezewa miaka miwili baada ya kumaliza awamu yake ya uongozi.

“Huu WITO wa kuongeza muda Magufuli kama SHUKRANI ina msingi DHAIFU na POTOFU lakini tusema tunakubali kudharau hilo, Swali langu: 1 Kwanini tumuongozee miaka 2 tu? 2.Nani kapima urefu wa SHUKRANI yetu akafikia miaka 2? 3. Kwanini asiwe PRESIDENT FOR LIFE?, Tutafakari kabla kusema” ameandika Karume kwenye ujumbe wake kwenye ukurasa wa twitter.

Rais Magufuli amekuwa akisisitiza mara kadhaa kuwa hataki kuongeza hata dakika moja kwenye nafasi ya urais kutokana na ugumu wa kazi hiyo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad