AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Fredy Lowasa ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowasa, ameibuka mshindi wa kura za maoni jimbo la Monduli baada ya kupata kura 244.
Mbunge aliyemaliza muda wake Julius Kalanga amepata kura 162, na Wilson Lengima amepata kura 149
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK