7/19/2020

Gigy Money Ameshindikana...Apigana LIVE na Mchumba Wake Kwenye Usiku wa Zuchu....Ni Aibu Tazama Video Hapa

GigyMoney na Mpenzi Wake Huncho Usiku wa Jana Kwenye Show ya Msanii wa WCB ZUCHU Mlimani City, Wawili Hawa Walikisha Moto Kabla Hata ya Show Kuisha, Hakika GigyMoney ni Bondia. 😅

Tazama Tukio Hili Mpaka Mwisho Kisha Weka Comment Yako Hapa Tafadhali.


"You are prostitute" Ni maneno ambayo yamesikika akiyasema Mnigeria wake gigy money hapo jana Mlimani City. It means kisa cha ugomvi wao itakuwa Gigy kafumaniwa au mshkaji kahisi kuchapiwa.

Tazama VIDEO:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger