Hashim Rungwe Asisitiza Ahadi Yake ya Ubwabwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



MGOMBEA wa urais kutoka Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Hashimu Rungwe, ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho amesema ataendela na ahadi yake ya kuwapatia wanafunzi chakula mashuleni endapo kama chama chake kitampa ridhaa ya kupeperusha bendera kwenye nafasi ya urais.

 

“Kama Chama changu kitanipa ridhaa ya kuwa mgombea nafasi ya Urais sitaacha sera yangu ya wanafunzi kupata chakula mashuleni mchana, ndiyo lazima wanafunzi washibe ubwabwa mtamu wa moto ili akili zao zichaji,  ni jukumu la Kiongozi wa nchi kuhakikisha wanafunzi wanashiba,” Hashimu Rungwe, Mwenyekiti CHAUMA.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad