7/31/2020

Hatimaye Shoga Maarufu Afrika Bobrisky Amwanika Boyfriend Wake Billionare


Shoga Maarufu kutoka pande za Nigeria , Idris Okuneye maarufu kama BOBRISKY, leo amewashangaza followers wake karibia mil 2.7 baada ya kumpost mtu aliyesema kuwa ndiye boyfriend wake , na kuzua tafrani ya aina yake kwenye ukurasa wake wa Instagram .

Ni miaka mingi shoga huyo mwenye pesa chafu amekua akimficha mpenzi wake hali iliyozua sintonfaham, Kwan wadau wengi wa ubuyu walipenda kumjua the man behind her lavish life style , hatimaye shoga huyo mwenye kashi kashi za aina yake leo kaamua kutupa maji ya uzima wapenda ubuyu..

Ila shoga nae si alisemaga he only dates old rich men , mbona huyu nae king’ast tu ? Isije ikawa kiki maana kidawa nae anapenda kiki kuliko Gigy

Haya hongera zake, ila mi najua tu bobrisky hana relationship , ni mdangaji tu
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger