7/29/2020

Heche: Mfumo wetu wa kutoa haki ni mbovu mtu anawekwa gerezani kwa kosa lenye dhamanaAliyekuwa Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche amesema mfumo wa kutoa haki ni mbovu.

Amesema badala ya kuwapa haki unadaidia kuminya haki watu hasa wapinzani wa serikali ya CCM.

“Inaumiza sana kwamba karibia mwezi Nusrat Hanje Katibu Mkuu Bavicha na Twaha Mwaipaya mwenezi Bavicha wako ndani kwa kosa lenye dhamana inauma sana,” aliandika Heche katika ukurasa wake wa Twitter.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger