Hii Ndio Picha ya Kwanza Duniani Kupakiwa (Uploaded) Kwenye Internet

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Picha hii ya kundi la waimbaji wanne wa Kike toka nchini Uswisi, ndio inaaminika kuwa picha ya kwanza kupakiwa (uploaded) kwenye intaneti mnamo Julai 18, 1992.

Kundi hilo la muziki wa Pop "Les Horribles Cernettes" lilikuwa marafiki wa Muingereza Tim Berners-Lee ambaye ni mgunduzi wa wavuti (World Wide Web), Tim aliwaomba wamtumie baadhi ya picha zao ili azichapishe mtandaoni, na hii hapo juu ndio inaaminika kuwa picha ya kwanza kuchapishwa kwenye intaneti.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad