Hii Ndio Siku Nilivyogundua Umuhimu wa Ushanga Kiunoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Imeandikwa na Dada Chiku

Haya Akina Dada,

Somo leo ni USHANGA. Kwanza Ushanga ni nini? Kwa kimombo, ni beads. Ukipita mitaa Kariakoo, utakuta kila rangi na design zinauzwa na akina mama wa kiMasai (Wanafanya Consultation pia). Zile ndogondogo kabisa siyo hizo kubwa za kuvaa kwenye nywele. Ni pambo muhimu mno kwenye mwili wa mwanamke. Hata kwa watoto wadogo, aliyevaa shanga, unajua ni msichana huyo.

Sasa mimi nilijfanya nime’zungu’tika, na kuaacha kuzivaa. Hasa baada ya ushanga niliyovaa kukatika na kumwagika nikiwa kwenye daladala. Uhusiano na boy-friend wangu ilikuwa kwenye Plateau…..yaani fla haunogit. Huyo boy-friend mimi nilimpenda sana. Nikaenda kwa Aunti wangu Temeke na kumwelezea shida yangu na kumwaomba Ushauri.

Aunti akanipeleka chumbani kwake. Akaniambia nivue nguo. Nilisita kwanza, lakini alisisitiza nivue. Nikavua. Akatazama mwili wangu, akasema, kweli mwili wako bado nyororo, lakini umekosa kitu kimoja muhimu….USHANGA!

Nilipigwa Butwaa… Ushanga! Aunti alisema, ndio umekosa Ushanga. Alienda akafungua sanduku yake, akanipa enye rangi ya light blue, njano, na red. Nikazivaa kiunoni Aunti akaanza kutabasamu, akaniambia, haya vaa sasa na nenda kwa boyfriend wako. Uone kama mambo ni tofauti.

Nilienda nyumbani, niloga na kuvaa nguo ya Outing. Nikapanda daladala na kwenda mjini. Nilikutana na boyfiriend wangu Posta Mpya …tukaelekea kwenye disko. Tulikuwa tunacheza madensi, halafu blues, ya Boyz to Men ikaanza kupigwa. Wenye disko walipunguza taa. Mimi na boyfriend wangu tukakumbatiana na kuanza kucheza Blues. Miili yetu iligusana na akaana kunipapasa taratibu kufuatana na beats za muziki. Nilifurahi sana. Akateremsha mikono yake kwenye kiuno changu. Alivyogusa ile shanga aliyonipa Aunti akawa kama mwili wake imekufa ganzi. Alisisimuka we! Akanishika kwa nguvu

Akaniuliza taratibu na kipole , "Chiku mpenzi, umevaa nini?"
"Nikamjibu kwa aibu , " Nimevaa Ushanga mpenzi".
Akasema, " Mimi najua kuwa ni ushanga ila tangu tuwe marafiki hujazivaa"
"Kweli, mpenzi. Aunti amenipa leo"
"Huyo aunti wako mjanja, anajua mambo"

Wimbo ulivyoisha tukaondoka kwenda nyumbani kwake. Siku hiyo mechi ikawa nzuri kuliko siku zote ambazo nilikuwa naye. Alikuwa na furaha mno. Kesho yake kazini kwake, akawa anatabasamu mpaka wenzake wakamwuliza ‘Vipi’. Na mimi nilipanda daladala kwenda Kariakoo, nilinunua shanga nyingi za kila rangi. Baada ya hapo nilienda duka na kumnunulia Aunti Zawadi ya Khanga kama shukrani.

Niliporudi Temeke kwa Aunti, alipoona natabasamu tu alijua mambo ni OKAY!

Akina Dada, ni muhimu sana kuvaa ushanga. Ni njia moja ya kumtia ashki mpenzio.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad