7/28/2020

Hili Hapa Gari Aina ya Benz Alilokuwa Anatumia Marehemu Rais Benjamin Mkapa.


Gari hili aina ya Benz lilikuwa la Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa.

Mzee Mkapa alikuwa akilitumia gari hilo kabla ya kuwa Rais wa Tanzania mwaka 1995, ambapo kwa wakati huo alikuwa Mbunge wa Nanyumbu na waziri.

Sasa hivi Benz hiyo inatumiwa na ndugu wa marehemu ambaye ni Paroko wa Kanisa Katoliki Masasi, Patrick Mkapa
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger