Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Hizi ndizo Dalili za Mwamaume Shoga Atazionyesha Kwako Kama Atakupenda Umpatie Huduma

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Nimewahi kupendwa na mashoga 2 walitaka niwatafune. Nikapambana nikashinda majaribu.
Kwa experience yangu ndogo nimegundua viashiria fulani ukifanyiwa na mwanaume mwenzako basi waweza kuhitimisha kuwa njemba ni PUNGA na kwamba anakuwinda umtafune.
1.Kukuunga mkono kila jambo unaloongea, hata kama la hovyo yeye huwa upande wako.
2.Kukusifia kuwa u mzuri (handsome ).
3.Kukutumia sms au picha ambazo kwa desturi zetu hutumiana watu wa jinsia tofauti.
4.Salamu na chatting za mara kwa Mara.
5.Kukupigia video call.
6.Kutaka muonane bila sababu ya msingi.
7.Sometimes mkipiga story anapenda kukuambia njoo home au nitakuja kwenu na talala huko huko, au atasema utalala hukuhuku hamna shiida.
8.Mkiwa 2 tu atakuonyesha video za ngono.
9.Kukuambia maneno kama nakupenda rafiki yangu, Usijali niambie tu chochote.
10.Kupenda kukushika bila sababu

Note: Hapa sijaelezea dalili za mtu shoga bali nimeeleza dalili za shoga kukupenda wewe mwanaume mwenzake.

Post a Comment

0 Comments