Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Humphrey Polepole 'Chama Chetu Hakitafuti Mshindi Kupitia Kura za Maoni"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ,Humphrey Polepole amesema kuwa chama hicho hakitafuti mshindi kupitia kura za maoni na kwamba kura hizo zitakisaidia tu chama hicho kuhitimisha maamuzi yake kuhusiana na watakaofaa kugombea na hivyo kuwatoa hofu walioangushwa katika mchakato huo

Post a Comment

0 Comments