Hushpuppi Kabambikiwa kesi kwa Sababu ya Ushamba Pamoja na Mwafrika Kuchukiwa Akiwa na Maisha ya juu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

Hata kama Hushpuppi alikuwa tajiri kwa utapeli, hizi kesi alizopewa ni nzito sana na sio kirahisi rahisi tu; timu za huko Ulaya ama account za mishahara zinadukuliwa kirahisi.

Ila kwasababu Marekani na Waarabu hawapendi mtu mweusi anapoishi maisha ya juu basi lazima wakuanzishie tu kisanga.

Kingine alichokosea Hushpuppi ni ulimbukeni kama sio ushamba wa kumiliki fedha nyingi, kununua magari ya kifahari, safari nyingi kwa ndege, hotel za nyota tano, n.k Huu ni ushamba dizain flani.

Basi ndivyo hivyo ilivyotokea, Hushpuppi kwa sifa zake za kutumbua mihela akaonekana anakidhi kila sifa kuwa mbuzi wa kutolewa kafara, Watu wakaona hii ndio tiketi sasa ya kuiba pesa za mishahara na za timu za huko Ulaya na mwishowe wamsingizie Hushpuppi maana kakidhi vigezo vyote.

Waafrika tuwe tunajiongeza tafadhali. Huyu mwenzetu Hushpuppi yawezekana alikuwa tapeli lakini kwa shutuma zilizomweka jela ni wazi kabisa katolewa kuwa mbuzi wa kafara.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad