7/18/2020

Huwezi Amini Harmonize Anafuata Nyayo za Diamond Mule Mule...Atangaza Kutambulisha Wasanii Wapya WatatuMsanii wa muziki wa bongo Fleva na CEO wa Konde Gang Harmonize ametanagza kuwa atatambulisha wasanii watatu mwezi wa nane (August)

Kupitioa ukurasa wake wa Instagram msanii huyo ametangaza ujio huo wa wasanii watatu kupia lebo yake ya Konde Gang, Hadi hivi sasa lebo hiyo tayari imemtambulisha msanii mmoja ambaye ni Ibrah na tayari ameachia nyimbo nyingi ikiwemo EP yake ya kwanza ya STEP ambayo ilikuwa na nyimbo tano tu.

Nyimbo zilizopo kwenye hiyo EP ni:-

1. ONE NIGHT STAND. Ibraah ft Harmonize

2.WANDOTO

3. WAWA. Ibrah Ft Joeboy

4. SUBIRA. Ibrah ft Skiibii

5. NANI

Mbali na hiyo EP Ibrah alitoa ngoma yake ya kwanza ambayo ilifanya vizuri sana akiwa chini ya Konde Gang ya NIMEKUBALI.

Hivyo endapo wasanii hao watatambulishwa Konde Gang itakuwa na jumla ya wasanii watano, Wa kwanza akiwa Harmonize, wapili Ibrah na hao wengine watatu wanaotarajiwa kutambulishwa.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger