7/30/2020

Huwezi Amini Ukimtaka Mwimbaji Zuchu Kwenye Show Unatoa Milioni 20, Sallam SK Afunguka


Huwezi Amini Ukimtaka Mwimbaji Zuchu Kwenye Show Unatoa Milioni 20, Sallam SK Afunguka
Meneja wa @diamondplatnumz na WCB @sallam_sk amesema kutokana na uwekezaji walioufanya kwa msanii wao mpya @officialzuchu promota akimtaka muimbaji huyo aandae tsh milioni 20.


Sallam amedai muimbaji huyo hana hata mwaka kwenye muziki lakini uwekezaji walioufanya ni mkubwa.

Meneja huyo usiku wa kuamkia leo alikuwa anazungumza na wadau wake kupitia Insta Live.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger