7/14/2020

Huyu Mwanamke Kanishangaza Sana..Haridhiki !!


Nina mpenzi wangu anayefanya kazi Morogoro, mwezi march alikuja kunitembelea sababu alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2 na siku 3 tangu afike. Alishikwa na malaria kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze.

Kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa, pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa. Mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.

Lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu sikuwahi kumletea kadi ya get well soon pamoja na Mauwa kama wenzake wakiumwa wanavyofanyiwa, Kaniambiwa huwa anaona Instagram Wenzake Wanavyopost

Ebu nisaidieni kadi na maua tu ndio mtu akujali?

Hapa hata meseji zangu hajibu sababu maua
Naanza kushtuka kama kweli huyu anafaa kuwa mke wangu
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger