Jafo Aibuka Mshindi Kura za Maoni KisaraweZoezi la kuhesabu kura za maoni, Jimbo la Kisarawe limekamilika na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo ameibuka mshindi.


Selemani Jafo-588

Hassan Bangusilo- 1

Fransis Gosbert -1

Mohamed Masenga-1

Ally Goha -2

Zemba Mumbi -2

Zainabu Zowange-2

Chaulembo -3

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments