JE Bangi Ina Madhara? Zijue Athari za Bangi Kwenye Ubongo na Mwili Wako....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama zilivyo dawa nyingine zote, bangi inaathari kwa mwili wa binadamu — baadhi zenye manufaa lakini nyingine zenye madhara. Ingawa wengi wanaifahamu kwa athari zake zinazojulikana kama macho mekundu, kuongeza hamu ya kula, bangi inahusishwa pia na kuweza kupunguza maumivu ya mwili. Baadhi ya watafiti waliwahi kusema kuwa inasaidia hata kwenye kudhibiti kuanguka kutokana na ugonjwa wa kifafa.

Zifuatazo ni athari za uvutaji wa bangi kwenye ubongo na mwili wa binadamu:


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad