Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Je Inawezekana kwa Mwanamke Kukaa zaidi ya Miaka Tatu Bila Kufanya Mapenzi?

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Bila kurefusha maelezo ngoja niende kwenye mada moja kwa moja ni kwamba kwa siku mbili tatu zilizopita sikuwa na furaha kabisa baada ya kufikiria maneno aliyoniambia shemeji yenu.....

Kwa ufupi ni kwamba shemeji yenu alikuwa kimasomo nje ya nchi kwa takribani miaka mitatu na hivi karibuni ndio anamaliza masomo yake na miezi michache ijayo natarajia kumpokea pale JKIA.......

Nisiwe mnafiki ama muongo kwa miaka hiyo mitatu kama mjuavyo kwetu wanaume huwa ni ngumu sana kuvumilia katika suala zima la kutokufanya mapenzi hivyo nilijikuta nimelala na wadada wa rika tofouti tofouti kukidhi haja zangu binafsi.....

Tatizo lililonifanya kuandika huu uzi ni kuwa mke wangu baada ya kunipigia simu kunipa taarifa kuwa nitegemee kumuona hivi karibuni kwani kilichompeleka nje amekimaliza salama, nilifurahi kusikia hivyo na katika mazungumzo yetu tukajikuta tunakumbushana mambo tuliokuwa tunafanya tukiwa wawili na mwisho wa siku nilijikuta namuuliza kijiswali kidogo tu kwa utani "Na Imani hujanisaliti mke wangu " aliniambia huku akisisitiza ya kwamba ameni miss sana na hakuwahi nisaliti na kwa miaka hiyo mitatu alipokuwa akisoma master's hajawahi mvulia mwanamme yeyote chupi na amekiri kuwa mimi ndio nilikuwa mtu wa mwisho kumvua na yupo kama nilivyomwacha kipindi kile ameenda kusoma nje ya nchi.....

Hivyo basi baada ya kusikia hivyo nikaona itakuwa janja yake tu ili nijue yuko loyal kwangu kumbe sivyo hivyo nimekuja mbele yenu kupata mawili matatu kuhusiana na hili suala ni kweli Mwanamke/mdada anaweza kukaa zaidi ya miaka mitatu bila kufanya mapenzi.....

Kwa upande wangu wangu hakuna kitu ambacho kitaniumiza sana katika maisha yangu kwa mwanamke ninaempenda na niliemuamini hadi kumweka ndani kunisaliti huwa napata picha za ajabu ajabu kichwani mwangu vile anavuokunjwa, anavyolalamika pindi pale dudu inapomuingia... ooh God ngoja niishie hapa.....

Niwatakieni siku njema na karibuni kwa maoni.....

By Theriogenology/JF

Post a Comment

1 Comments

Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)