7/26/2020

Jema Mdegela, Mdogo wa Muigizaji Tausi Mdegeka, Ameshinda Kura za Maoni Viti Maalum

Jema Mdegela, mdogo wa muigizaji Tausi Mdegeka, ameshinda kura za maoni viti maalum kundi la walevu mkoa wa Iringa kupitia Chama Cha Mapinduzi ( CCM).

Jema ameshinda kwa kura 215,
Jesca Mwaliyoyo ameshika nafasi ya pili kwa kura 59 na wa tatu Teodora Tagilavanu kapata kura sita. Kura moja imeharibika
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger