Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Jenifer Kanumba "Ninalipa Fadhila Kwa Mama Kanumba"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


JENIFER Kanumba siyo jina geni kwenye masikio ya mashabiki wa Bongo Movies. Jina lake halisi ni Hanifa Daudi. Ni kipaji kikubwa kilichovumbuliwa na aliyekuwa kinara wa Bongo Movies, marehemu Steven Kanumba aliyetangulia mbele ya haki Aprili 7, 2012.

Akiwa na Kanumba, Jenifer alicheza sinema kama This Is It ambayo ilimtambulisha rasmi na kumuweka kwenye ramani ya Bongo Movies.

Jenifer alipasua anga na filamu nyingine kama Uncle JJ, After Death, Without Daddy, Zena na Betina. Kwa sasa anafanya poa kwenye Tamthiliya ya Huba kwenye Maisha Magic ya DSTV.

Gazeti la IJUMAA WIKIENDA, limekaa meza moja na Jenifer ambapo anafunguka mengi ikiwemo ishu ya kulipa fadhila kupitia mama mzazi wa Kanumba, Flora Mtegoa ‘Mama Kanumba’ kwa mchango wa mwanaye katika kufichua kipaji chake.

Post a Comment

0 Comments