Jinsi ya Kumtegua Mume Toka Mapenzi ya Kichawi (Limbwata) Aliyotupiwa na Mkewe Awe Chini yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mke anamdharau Mumewe Na Anakuwa na mamlaka ndani Ya Nyumba, Mume Kawa kama zezeta ..........hajali Ndugu Zake !! Anamfulia mkewe mpaka nguo za Ndani..
TumeGundua Kamuendea Kwa Mganga na Kuroga Ili Awe Na Mamlaka Juu Ya mumewe na mali Zake na limbwata limemuingia Sawa sawa...

Msaada wakuu Kwani Mume anashindwa fanya kitu Cha Maana Zaidi Ya kuendeshwa na huyo Mke!

Tufanyaje Kumtoa Huko Alipo? Mwenye Kujua Tunaomba Msaada Tumtoe Ndugu yetu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad