Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Joh Makini Akana Weusi Kuwahi Kuwa na Ugomvi na Producer Nahreel

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Tunatumai wewe sio mgeni wa zile fununu kwamba Weusi walizinguana na mwimbaji pia mtayarishaji Nahreel na ndio maana wakakata mguu kwenda kurekodi kwenye studio zake.

Kwenye XXL Clouds FM, Weusi wamesema hawakuwahi kuwa na tofauti yoyote na nahreel, moja kati ya watayarishaji ambao wametengeneza kazi nyingi. Hii imekuja baada ya Joh Makini leo kuachia mkwaju wake #Dangerous akimpa shavu la nguvu Nahreel

Post a Comment

0 Comments