7/17/2020

Jokate: Wewe ni wa thamani sana, usiwaze maneno ya watuMkuu wa wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo ametoa ushauri kwa watu kujithamini na kujua kuwa wao ni wathamani hata kama wanasemwa vibaya . 


Kupitia instagram yake Jokate Ameandika Ujumbe Huu Siku; 


''Kumbuka wewe umeumbwa kwa mfano wake Mwenyezi Mungu. Hivyo wewe ni wa thamani sana. Usiwaze maneno ya watu na wanasema nini juu yako. Waza zaidi juu ya Mungu anachosema juu yako. Na Mungu amesema ametupangia mema/kuwa na amani na sio mabaya ili tupate kuwa na tumaini la baadae. Muamini Mungu!!Yeremiah 29:11'' @jokatemwegelo

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger