7/17/2020

Joshua Nassari Ajitosa Tena Kugombea Ubunge Kupitia CCM...Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA) kabla ya kuvuliwa Ubunge na baadaye kuamua kuhamia CCM, Joshua Nassari amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge kwa mara nyingine tena katika Jimbo hilohilo la Arumeru Mashariki
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger