7/14/2020

Kagere achaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi MachiMSHAMBULIAJI namba moja wa Klabu ya Simba Meddie Kagere amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/20. 

 Kagere alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake Paulo Nonga wa Lipuli  na Never Tigere wa Azam FC alioingia nao fainali. 

Kagere ametupia jumla ya mabao 19 na anaongoza kwenye ligi huku Nonga akiwa na mabao 11. 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger