7/19/2020

Kanali Mstaafu Atinga na Usafiri wa Mkokoteni Kurejesha Fomu ya UbungeKanali mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kichonge Mahende Masero, ambaye ametia nia ya kugombea jimbo la Tarime Mjini alizua gumzo akiwa anachukua fomu na kuirejesha akiwa kwenye usafiri wa mkokoteni.

Masero ambaye ni kada wa CCM Ijumaa Julai 17, 2020 wakati akirejesha fomu alitumia usafiri wa mkokoteni huku bodaboda zikimsindikiza.

Baadhi ya watu walimshangaa alivyokuwa akiendeshwa na mkokoteni huo.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

3 comments:

 1. Huyu Hatufai, Ni mchekeshaji na mtafuta


  kiki kabla hata Ubunge Hajaunusa.. Haya Ndugu Mkokoteni na Boda Boda Bodyguard.YUKUSAIDIE NINI...KURA AU KULA?

  ReplyDelete
 2. Huyu Hatufai, Ni mchekeshaji na mtafutakiki kabla hata ya Ubunge Haja unusa.. Haya Ndugu Mkokoteni na Boda Boda Bodyguard.
  TUKUSAIDIE NINI...KURA AU KULA?

  ReplyDelete
 3. Tunaomba kujua, Kanali Mstaafu, Alipanda mkokoteni Dezo au Alilipia na kiasi gani? Au yeye ndie mmiliki wa Mkokoteni?

  Inavyo elekea Gurudumu la upande wa kulia limepinda, Je wana Usalama Barabarani Wamelichukuliaje suala Hili?

  Isitoshe Mbunge Mtarajiwa Hajavaa hata Mkanda wala Helimeti kwa Usalama wake.. ? Hii ikoje hapa??

  ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger