Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Khadija Khalid Ismail ashinda kura za maoni CCM Ubunge Viti Maalum (Vijana) Mkoa wa Pwani

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMshindi wa kura za maoni CCM Ubunge Viti Maalum (Vijana) Mkoa wa Pwani ni Khadija Khalid Ismail mwenye kura 15 kati ya kura 40 zilizopigwa, nafasi ya pili imeenda kwa Mary Daniel mwenye kura 8 akifuatiwa na Mufandi Hamisi mwenye kura 6.


Post a Comment

0 Comments