7/22/2020

Kim Kardashian Kupewa Talaka na Kanye West Kisa Mwanamuziki Meek Mill

Kanye West amekuwa akitaka kumpa talaka Kim Kardashian, amesema hii imeanza mara baada ya kukutana na Meek Mill mwaka jana kwenye mchakato wa mabadiliko ya sheria za magereza.

Kwanini Kanye amefikia maamuzi hayo? au anawaza pengine Meek Mill amemchapia mkewe kutokana na ukaribu waliokuwa nao? ni maswali ambayo wengi wamebaki wakijiuliza.

Kwenye tweets zake zenye utata usiku wa kuamkia leo, Kanye aliandika kuwa hamlaumu Meek Mill na anamuheshimu sana lakini Kim Kardashian alitoka nje ya mstari
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger