Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Kimenuka Kwa Mwijaku..Afikishwa Mahakamani Kisa Picha za Utupu

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Msanii wa Filamu nchini, Brighton Mwemba maarufu kama Mwijaku amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka moja la kusambaza picha za utupu kinyume cha sheria.

Mwijaku anadaiwa kuchapisha picha hizo Septemba 15 na Oktoba 10 mwaka 2019 kwa kutumia mfumo wa kompyuta kupitia mtandao wa WhatsApp

Post a Comment

0 Comments