Kisa Zitto Kabwe...Baba Levo Arudi Kugombea Udiwani Badala ya Ubunge Kama Alivyotangaza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii Baba Levo leo amerudisha mpira kwa kipa baada ya kusema anarudi kugombea Udiwani baada ya Zitto Kabwe kutangaza nia ya Kugombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini.

Baba Levo aliwahi kutangaza nia ya kugombea Ubunge Kigoma Mjini lakini aliweka tahadhari kuwa ataendelea na nia yake hiyo endapo Zitto Kabwe hatogombea Jimbo hilo

Mpaka sasa Baba Levo amesama ameshachukua fomu ya kugombea udiwani na kuirudisha kimya kimya

VIDEO:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad