Kocha Athibitisha Niyonzima Kuikosa Simba FA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, leo Jumatatu, Julai 6, 2020, amethibitisha kuwa  kiungo wake Haruna Niyonzima, raia wa Rwanda, atakosa mechi muhimu dhidi ya Simba Julai 12, 2020, baada ya kuumia goti lake kwenye mechi dhidi Biashara United jana.

 

“Nimempoteza Haruna, mmoja wa wachezaji wangu bora kaumia, baada ya dakika kumi tu kuingia kwenye mchezo dhidi ya Biashara, alichezewa faulo mbaya kwenye goti lake na hivyo ataukosa mchezo dhidi ya Simba,” amesema Luc.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad