7/27/2020

Kumbe Wanaume Nao Wanapenda Huhongwa Kama Wanawake

Katika mapenzi Kila mtu anapendwa kuhongwa na Mpenzi wake haijalishi ni Mwanaume au Mwanamke,

Tatizo linalo kuja hapa ni kwamba wahongaji wakike ni wachache kuliko wanaume,

Ukipata mwanamke anayekupa hela, mwanaume huwanga tunafulahi sana, tunapopewa hela na wapenzi wetu wa kike.

"SIYO WANAWAKE TU WANAOPENDA KUHONGWA"
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

2 comments:

  1. Jamani wanawake tumezidi kuna mkaka mmoja anaitwa Rummy,wala aangaiki kutongizwa kila mwanamke anamtaka rummy shoo,eti kisa wahongwe magari.wanawake bana,kuna mwingine anajilengesha mimba eti na yeye azae na Rummy maisha yamnyookee.Hongera Rummy.

    ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger