7/14/2020

Kusaga Ampa Baraka Zote Hassan Ngoma Kuondoka Clouds FM


Mkurugenzi wa Clouds Media Group, @Josephkusaga amempa baraka zote aliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV, Hassan Ngoma ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wilaya ya Singida.

"Sasa hivi Hassan Ngoma anakwenda machozi yananitoka lakini baba ni baba na amemwona na kwamba anaweza kulitendea Taifa letu mambo mazuri zaidi, nashukuru Hassan Ngoma kwa uadilifu wake na utendaji wake wa kazi wa hali ya juu ambao ameufanya akiwa na sisi lakini Nina uhakika haitakuwa mwisho na ataendelea kuripoti akiwa huko huko Singida"

"Nina uhakika utaendelea kutupa madini ukiwa huko katika kituo chako kipya cha kazi" @Josephkusaga, MD #CloudsMediaGroup.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger