7/22/2020

Kutana na Pastor Kutoka Kenya Anawanyoa Waumini Nywele za Kwapani na Sehemu za Siri

Pastor Reverend Njohi Wa Lord's Propeller Church Ministry Jijini Nairobi, Akiwa anawanyoa Waumini Wake nywele za kwapa na Sehemu za Siri

Pastor Njopi pia Huwavua chupi Waumini Wake na kuziondosha nywele zilizopo na akisisitiza kuwa kila muumini anapokuja kanisani Basi mwili wake Uwe msafi na auweke huru kwa pastor kwa ajiri ya Bwana Na Waumini Wake hunyolewa na kuvuliwa chupi huku wakimshangilia Pastor kwa ujasiri aliopewa na bwana
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

1 comment:

  1. hao waumini wana wazimu, mbona wanaume hawanyoi? Jamani wanawake tusikubali kudhalilishwa kwa kisingizio cha dini

    ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger