Lulu Elizabeth Michael Awajibu Wanaodhani Anajichubua, Ameachia Muonekano Huo Kisha Kusema

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


''Kama uliwahi kuhisi Lulu ni mweupeeeee 😀 basi you were wrong 😊Mimi sio mweupe wala sio mweusi...Nko hapo katikati wanaita CARAMEL au kama 🍊 hivi 😂....sikuwahi na mpaka sasa hivi sijawahi kupata hamasa yoyote ya kuongeza au kubadilisha rangi yangu permanent (labda kwa filter na make up😛)

''Sio jambo baya kama ukipenda kuongeza rangi yako lakini nimejifunza kuwa with age ngozi huwa inabadilika na kama ilianza kupata vitu vikali mapema huko mbeleni inakuwa ngumu sana ku-maintain....VIJANA wenzangu....wasichana kwa wavulana wakati tunaendelea kuwa busy na kutafuta maisha yetu tukumbuke na kujitunza wenyewe na hasa NGOZI ZETU Ili tuendelee kuonekana Nadhifu siku zote...!❤️
**Nofilter''
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad