7/18/2020

Maajabu ya Zuchu Afanya Kufuru ya Kuuza Ticket 2000 za Kiingilio cha Elfu 50Kupitia ukurasa wa Boss wake @diamondplatnumz ameandika

"Mwanzoni tulieka kwa watu 500 Tickets zikaisha  tukaongeza Ukumbi hadi  watu elf Moja (1000)  jana usiku zikaisha tena.... ikabidi Tutanue tena ukumbi wote wa watu 2,000  na kuset upya Stage Usiku wa manane tena nazo zimeisha...jamani @officialzuchu watu wamekupokea mdogo angu,  Unapendwa sana... Industry nzima iko Mlimani City Leo kukuunga Mkono Mdogo wao🌹 #AsanteNashkuru #IAMZUCHU


Haikutosha mrembo Zuchu nae kupitia ukurasa wake wa Instagram akaandika hivi

"allahi M/mungu awape pakubwa zaidi ya mlichokitoa kwenye kununua hizi tickets za kuniunga mkono mdogo wenu.

Nawapenda sana mnanipa moyo wa kuzidisha nguvu kwenye performance zangu zote leo,SOLDOUT 😭😭😭 

Mapenzi yangu kwenu hayaelezeki kwa maneno kabisa.

Leo industry nzima iko Mlimani city kwa ajili ya kuniunga mkono ,Mpaka viongozi wa nchi yetu .Oh My GOD Naishiwa maneno nawapenda sana tukutane MLIMANI CITY

#AsanteNashkuru #IAMZUCHU


PIGA HESABU SIMPLE

50000×2000 = 100,00,000

Jumlisha Tiketi zile za Laki moja na Milioni Kibao hizo zitoe kama gharama za Kuaanda Shughuli Mzima pale kati.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger