7/30/2020

Magufuli "Tunatuma Fedha za Bodi ya Mfuko wa Barabara, Sijui zinakwenda Wapi"“Kwa mujibu wa Sheria ya Barabara, Barabara ikishakua ya lami inapata 100% ya ukarabati (Maintanance), Fedha za Bodi ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) sijui zinakwenda wapi!, Serikali haijalala, hili la ubovu wa Barabara (Kusini-DSM) nawahakikishia nitalishughulikia mwenyewe”-JPM

“Tunatuma fedha za Bodi ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) na tunatuma fedha za Halmashauri haiwezekani Barabara mbovu Kusini -DSM, hakuna stendi Somanga, Uchaguzi unakuja, tujipange vizuri na tuchague wawakilishi ambao tutawabana na watatuwakilisha vizuri” -JPM
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger