Makubwa Baada ya Shilole Kuchukua Kichapo...Wema Asema Anachokimisi Toka Kwa Diamond Ni Kipigo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"Nakumbuka kipigo chake, Aisee kilikuwa hatari, lakini nilikuwa napenda kupigwa naye kwa kweli yaani sijui nisemeje, kwa sababu alikuwa akinipiga ananibembeleza sana, basi nainjoi. Kiukweli nakimisi kipigo kama kile na kubembelezwa"

Aliongeza "Kuna siku Nasibu (Mondi) alionaga meseji imeingia kwangu akawa ana wasiwasi nayo, akanipiga kibao kikali kwenye shavu, halafu ndugu zangu wakajua na hata ninyi (Magazeti Pendwa) mlitoa kwenye gazeti, lakini niliwaambia mimi napenda kupigwa naye hivyo waniache".Alifunguka Wema
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad