Mama Salma Kikwete aongoza kura za maoni Jimbo la MchingaPKatika Jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete, amepata kura za maoni 92 za kugombea nafasi ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akifuatiwa na Saidi Mderu, kura 68, watatu ni Liziki Lulida, Kura 62, Abdulazizi Silipi, kura 52

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments