7/24/2020

Mama Samia: Kifo cha Mkapa ni pigo kwa taifa letu


Maneno ya Makamu wa Rias wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan baada ya kifo cha Rais Mstaafu Benjamin Mkapa.

Nimepokea kwa huzuni na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha aliyekuwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa. Hakika kifo hiki ni pigo kubwa kwa taifa letu.Tutamkumbuka daima kwa mchango wake kwa Taifa letu kwenye nyanja za siasa; uchumi, diplomasia na jamii. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Mzee Mkapa Mahali Pema Peponi, Amin.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger