7/24/2020

Manara: Mkapa wanamichezo ulituachia uwanja, uliojengwa baada ya umati mkubwa wa mashabiki wa Simba kwenda Airpot


Alama yetu Wanamichezo uliyotuachia Mzee wetu Mkapa, Uwanja huu ulijengwa baada ya Rais wa wakati ule Mh Ben Mkapa kuona umati mkubwa wa Washabiki Airport ya Dar es Salaam, waliokwenda kuipokea Simba SC iliyotoka kuiondoa Zamalek ya Misri Kwenye michuano ya klabu Bingwa Afrika, Mzee Mkapa alishangazwa na umati ule na kujiridhisha kuwa Watanzania wanahitaji kujengewa uwanja mkubwa na wa kisasa.


Hyo ilikuwa katikati ya mwaka 2003 na Mzee Mkapa yy alikuwa akitoka nje ktk Safari zake za kikazi, Kiufupi bila Mzee Mkapa tusingekuwa na uwanja huu mkubwa na mzuri kupita vyote Afrika Mashariki. Ila mchango wa mashabiki wa Machampioni wa nchi Simba kujazana pale Kipawa ndio chanzo.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger