7/16/2020

Mashinji Achukua Fomu Kuchuana na GwajimaALIYEKUWA Katibu Mkuu wa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kabla ya kuhamia kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Vincent Mashinji amechukua fomu ya kuomba ridhaa kuwania kuteuliwa kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam.

Wengine waliochukua fomu kuwania ubunge jimbo la Kawe ni:

Askofu Josephat Gwajima

Msanii na Mtangazaji, Burton Mwijaku

Mshauri Mwandamizi wa Kituo cha Sera za Kimataifa na aliyekuwa Afisa Mawasiliano katika Ofisi ya Rais – UONGOZI Institute, Amani Nkurlu.

Mhasibu wa Ofisi ya RUWASA Mkoa wa Dodoma Isihaka Mwanjali.

Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, ambaye pia ni mtoto wa Spika mstaafu wa Bunge la Tisa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Marehemu Samwel John Sitta, Benjamin Sitta.

Wakili wa kujitegemea Muharami Rajabu Chuma.

Afisa Mwandamizi usimamizi wa Fedha kutoka Management ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ndugu Geofrey Timothy.

Hemed Ahmed Khamis Tirgis.

Simon Kinabo.

Ally Maftah.

 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger