7/25/2020

Mazoezi 3 ya Haraka ya Kunenepesha na Kurembesha MakalioHakuna mwanamke asiyependa kuwa na umbo la kupendeza na umbo bila tako si umbo.

Wengi wanawake hufanya kila nia kuhakikisha kuwa wanapata umbo wanalotaka, wengine wakienda kiasi cha kufanyiwa upasuaji na wengine kutumia matembe almuradi wawe na makali mazito.

Si hayo tu wapo baadhi ambao huvalia nguo kadhaa ama kutumia makalia bandia ili kuonekana warembo.

Hizi hapa njia rahisi za kunenepesha makalio bila kupata taabu yoyote.

KuinamaSimama imara na uhakikishe kuwa mgongo wako umelainika kisha uiname sawa na mtu anayetaka kukaa hakikisha kuwa magoti yako hayapiti viganja vya miguu.


Rudia hii mara 3 hadi unapokamilisha raundi 20.


Kuruka na kuinamaPanua miguu huku umesimama kisha uiname na kutia mikono miwili kati kakati ya miguu chini.


Rudia hii mara kadhaa huku ukiruka na kurudi katika nafasi hiyo hiyo.


Hakikisha kuwa unanyoosha magoti ukiendelea kuridia zoezi hili.


Kuinukia kwa mgongoLala kichalichali  kisha uikunje miguu na mikono yako iuweke kando kando.


Kaza mikono kisha uinuke kwa mgongo na uhakikishe kuwa mgongo huo unasalia kuwa laini.


Rudia hii pole pole mara sita


Mazoezi haya unatakiwa kufanya mara tatu kwa wiki ili kupata matokeo ya haraka.

Hakikisha kuwa unakunywa maji ya kutosha na kupunguza vyakula vyenye mafuta

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger