Mbwana Samatta Apiga Goti na Kumshukuru Mungu Kumbakiza Ligi Kuu ya Uingereza

"Narudisha shukrani kwa Mungu kwa kuamua niendelee kubaki kwenye ligi kuu ya England tena mwakani.

Asanteni kwa wote mlioiombea kheri villa ili muendelee kuniona tena katika ligi hii pendwa." - Mbwana Samatta @samagoal77 That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments