Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Mimi na Daimond nio Tunaweza Kuandaa tour na kuwaridhisha Wasanii Wenzetu- Gigy Money

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMwanamuziki wa bongo fleva Gigy moneyamefunguka kuwa yeye na Msanii Diamond ndio wasanii pekee wanaoweza kuandaa tour na wakawalipa vizuri wasanii wanaoambatana nao .


Kauli hiyo ameitoa Gigy Money kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika hivi;

''I swear Me and @diamondplatnumz we are only 2celeb who can Do tour and pay 💰 other artists Good , you know why ??
We know our fellow artist Worth (kama kingereza changu uelewi Nasema ivi mm na @diamondplatnumz ndio wasanii pekee tunaoweza kuandaa tour nakualidhisha wasanii wenzetu 🙏💪💪💪💪🙏 kama Unabisha kunya Boga🤣 tukutane MBEYA'' @gigy_money_og

Post a Comment

0 Comments