Mkapa ni Baba wa Demokrasia, aliikuta Nchi ikiwa na madeni akapambana na Nchi ikasamehewa deni la USD- JPM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



“Mkapa ni Baba wa Demokrasia nchini, hata utaratibu wa kutoa ruzuku kwa Vyama vya siasa yeye ndiye aliuanzisha, alisimamia utawala bora, alianzisha Taasisi ya Kuzuia Rushwa”-JPM 


“Mzee Mkapa aliikuta Nchi ikiwa na madeni akapambana na Nchi ikasamehewa deni la USD Billion 3 kati ya USD Billon 7 katika mpango ambao ulisimamiwa na Benki ya Dunia na IMF, Mzee Mkapa aliamini pia kuwa Nchi inapaswa kujitegemea licha ya kusamehewa deni”-JPM


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad