7/25/2020

Mke Wangu Ghafla Ame Lock Simu yake Kwa Password..Nahisi Kuibiwa


Mke Wangu Ghafla Ame Lock Simu yake Kwa Password..Nahisi Kuibiwa


''Nampenda sana mke wangu, ni miezi sita tu toka tufunge ndoa!!!

sitaki kumuudhi wala kumkera kwa lolote, namtimizia kila kitu ili mradi tu asipate vishawishi vya kutoka nje ya ndoa!

toka tuanze mahusiano yetu ya kindoa, mke wangu alikuwa msikivu sana kwangu, kila ninalo mwambia amekuwa 

akinisikiliza! ilifikia kipindi ikawa ni utamaduni wetu kuwa tuna share mpaka simu zetu! yeye akiwa anatumia yangu mi 

natumia yake! wiki chache hivi zilizopita, nimeshangazwa sana na hiki kitendo nilichokuta kwenye simu ya mke wangu, simu yake imefungwa kwa namba maalum anazozijua yeye mwenyewe!! nilipojaribu kuhoji juu ya hilo, akanijibu kwa ukali, ''kwani wewe unataka nini, simu si yangu, na wewe una yako.. funga na wewe yako''!

niliamua kukaa kimya ili nisizue mengine! mke wangu amekuwa ni mtu wa kupokea simu za ajabu ajabu na kutumiwa meseji kila mara, kila ninapohoji, yeye anasema kwa ukali kwamba wivu, namwaibisha kwa mashoga zake... eti tuko mjini hapa!!!

mwenzenu nimechanganyikiwa!!! nahisi kunyang'anywa tunda langu''......

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

16 comments:

 1. KOSA LAKO NI UKO KUMPENDA SANA, KAMA ANAVYOSEMA NAWE FUNGA YAKO, HAPA MJINI

  ReplyDelete
 2. tayari analiwa nje ya ndoa huyooooo

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hivi nyie unaocomment umeoa au? Maana tuliooa tunajua. Hakuna chochote anakutest aone kama kweli anampenda, wala usijal kaka ni mambo ya wanawake kuona upendo wako...

   Delete
 3. hao ndo wake mnaoa kwa nguvu ya pasa,hapo hakuna mapenzi tena yamebaki mazoea tu

  ReplyDelete
 4. tayari mchakato matata umeanza. pengine mashoga zake wanachangia kumshawishi ajirushe.

  ReplyDelete
 5. Hakuna cha mashoga apa kwan katumwa kuolewa kajipanga kaamua,nlimjibu mwenzangu kwako sasa unae lalamika kuna sababu inabid muuongee vizuri muwekane waz dhen ndoa itulie.

  ReplyDelete
 6. ndugu yangu unagongewa hapo, huna chako tena peke yako. jipange pole sana.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Achana nae huy njoo unioe mimi

   Delete
  2. we ndo malaika mavi wee unashida sana ya ndoa ee kwan mume pipi au peremende nyoo mtengeneze wa kwako unapenda spoon feeding eeh

   Delete
 7. Kimbele mbele tu kushika cm ya mkeo.ujui sasa hiv wanawake tuna mahusiano ya kisasa uku ndoa uku vidumu ndo mpango mzima ndoa ikizingua kidumu kitakupooza.ukiwa na ndoa tu utakufa na presha hivo kuwa mpole baba acha mkeo akupange wa nje anamuonjesha tu we ndo unafaidi usiconde wala nini.ndio ndoa za .com hizo.

  ReplyDelete
  Replies
  1. wambie ao..........ahahahahah!

   Delete
 8. Acha wivu, wivu ni kidonda! Inawezekana password kaweka ili watoto wasichezee! Mbona hata mimi simu yangu nimeweka password?

  ReplyDelete
 9. Ukiona manyoya ...

  ReplyDelete
 10. Wewe ni mjinha..sasa hivi unamegewa....mke wako siyo muaminifu tena kwako...chukua hatua za kiume wewe...

  ReplyDelete
 11. Ataacha na kuoa wanawake wangap. Achen kushaur ujinga. Hizo ni mbwembwe tu kukujaribu upendo wako. Tulia na mkeo hakuna lolote kakangu...hata mie namfanyiaga hivyo mume wangu....kupima upendo wake kama atareact au la...

  ReplyDelete

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger