Mkwasa Aomba Kupumzika Yanga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



KAIMU Katibu Mkuu wa Yanga Simon Patrick amesema Kocha Msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa ameomba kupumzika kukinoa kikosi hicho.


Mkwassa alikuwa anafanya kazi na aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo Luc Eymael ambaye amefutwa kawa kocha

Eymael alifutwa kazi ndani ya Yanga, Julai 27 baada ya kueneza taarifa zilizokuwa na viashiria vya ubaguzi wa rangi jambo ambalo sio la kiungwana kwa familia ya michezo na dunia nzima kiujumla. 

 Katibu amesema kuwa Mkwassa kwa sasa ameomba kupumzika na majukumu ya kukinoa kikosi hicho hivyo watalazimika kumtafuta mbadala wake.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad