7/17/2020

Moto Ulivyounguza Shule ya Sekondari Muslim Kinondoni, Wahusika Wataja Sababu ya Moto Huo Wanafunzi Kuhamishwa shule (+Video)


Shule ya Sekondari ya Kinondoni Muslim ya jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto mkubwa uliozuka mchana wa leo, kwa mujibu wa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, hakuna madhara yoyote kwa wanafunzi na chanzo chake bado hakijafahamika.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger